19 Machi 2011 - 20:30

Siku ya Jumamosi ilikuwa siku ya kuonngezeka idadi ya Mashahidi Nchini Bahrain kwa kuuawa Mwanamke mmoja kwa athari ya Gesi ya Sumu

Ripoti ya ABNA-Yusuf Muhafadhah kiongozi na mfatiliaji wa haki za Binadamu alisema:Zainab Abdah Husein Issa siku ya Jumamosi alikabidhi Roho kwa athari ya Gesi ya Sumu ilofukizwa na vikosi vya Usalama vya Bahrain.

Mama huyu ni mkazi wa As sahlah Junubiyah Bahrain na Mama huyu alikuwa mwenye umri wa  miaka 68.

Shahada ya Zainab iliongeza idadi ya Mashahidi kufikia 71.